Kiteop

Kiteop ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wateop. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiteop imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiteop iko katika kundi la Kioseaniki.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search